
Na Edwin Soko-Banjul, Gambia Mkutano wa Afrika wa Azaki (CSOs) unafanyika mji wa Bajul Gambia ukiwa na lengo la kutathimini utekelezaji wa maazimio ya Tume ya Afrika juu ya kulinda haki za binadamu Afrika, Mkutano huo umendaliwa na Kamisheni ya Afrika inayoshughulika na Haki za Binadamu. Mkutano huo ulichagizwa na…